Kwani wewe tangazo hukulisikia kwamba watu wa pwani muingie kwenye safina mapema,mikoa yenu itakumbwa na gharika🙂Nyie hizi mvua jamani Isije ikawa watu wengine wametangulia kwenye safina sisi hatujui tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli! HahahahaTeh teh teh..imejiunga Haikatiki bundle