Mvua Dar es salaam

Mvua Dar es salaam

Gan star

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
379
Reaction score
982
Nyie hizi mvua jamani Isije ikawa watu wengine wametangulia kwenye safina sisi hatujui tu
 
Nyie hizi mvua jamani Isije ikawa watu wengine wametangulia kwenye safina sisi hatujui tu
Kwani wewe tangazo hukulisikia kwamba watu wa pwani muingie kwenye safina mapema,mikoa yenu itakumbwa na gharika🙂
 
Tumeingia kwenye safina na tumebaki duniani! Everything is well and done forever!
 
Hii mvua toka imejua dar sio makao makuu bali ni mkoani inanyeshaaa balaa maana inajua ni muda wa palizi ya kwanza.
 
08bfa34f56b180487116016708ad01a4.jpg
 
Back
Top Bottom