Mvua Dar ni mafanikio ya Ilani

Mvua Dar ni mafanikio ya Ilani

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kutokana na juhudi za utunzaji mazingira zilizoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguiz (2020-2025) mafanikio tunayaona kwa mvua za wastani kunyesha jijini. Tunampongeza Mwenyekiti
 
Kutokana na juhudi za utunzaji mazingira zilizoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguiz (2020-2025) mafanikio tunayaona kwa mvua za wastani kunyesha jijini. Tunampongeza Mwenyekiti
Mapori yanateketea sana kwa uchomaji mkaa maelfu ya miti inakatwa na tani za mkaa kusafirishwa kwa siku
 
Duh! Hongereni kwa mvua ila na barabara zinafungwa!
 
Tusisahau kupongeza pia kwa mafuriko ya Jangwani na maeneo mengine, hiyo nayo ni mafanikio ya Irani!😊😊
 
Back
Top Bottom