R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Mar 1, 2026 #1 Msimu ndio huu! Kuna matumaini ganinya mbua, hasa ukanda wa Pwani maana ndiko kuna shida kubwa ya mvua.
Msimu ndio huu! Kuna matumaini ganinya mbua, hasa ukanda wa Pwani maana ndiko kuna shida kubwa ya mvua.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 Mar 1, 2026 #2 Mvua ya kutosha,mpunga tutapata
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Mar 1, 2026 #3 Inanyesha vizuri tu, mabwawa yamejaa maji
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,617 Reaction score 16,418 Mar 1, 2026 #4 Mwaka huu mpaka wajinga watavuna mpunga na ndio tutakapouza kilo 800