Nahisi hata nanihii ilibidi "ishtuliwe" kidogo, unakumbuka yale magari ya kuwasha kwa kuzungusha handle? Yaani mpaka utekenye tekenye kwanza ndio gari inawaka, hahahaha Vijana achene kula chips yai....madhara yake ni makubwa sana, saa hizi anakuja kuianika aibu yake hapa kwa wanaume