Mvua ilivyonirahisishia kazi kwa huyu mtoto (Emergency love)

Mvua ilivyonirahisishia kazi kwa huyu mtoto (Emergency love)

Nahisi hata nanihii ilibidi "ishtuliwe" kidogo, unakumbuka yale magari ya kuwasha kwa kuzungusha handle? Yaani mpaka utekenye tekenye kwanza ndio gari inawaka, hahahaha Vijana achene kula chips yai....madhara yake ni makubwa sana, saa hizi anakuja kuianika aibu yake hapa kwa wanaume
Kula ugali mkubwa wa dona na maharage mboga za majani, kipande kikubwa cha papai Kisha kunywa maji mengi ( si ya kwenye jokofu) utapiga mzigo hadi mtoto akimbie mtupu.
 
Back
Top Bottom