Mvua ilivyonirahisishia kazi kwa huyu mtoto (Emergency love)

Mvua ilivyonirahisishia kazi kwa huyu mtoto (Emergency love)

Ukamkaza kavu khaaa pole yakoo sana sana tamaa mwachie fisi aendelee kula mifupa
 
Aisee, wewe ndie 'umeliwa' kidandara! We chalii niaje? Yaani kamtego kadogo hivyo cha huyo manzi umenasa? Ungekutana na mitego ya 'maprofeshno' ungetoka kweli wewe? Kajicheki afya kwanza!
Yaani mkuu mtoto niliyekuwa namtamani kajileta nijizuie tena
 
Wakuu kwanza kabisa kama mnavyojua kila kitu kina faida na hasira, mbali na shida zote tunazopata wakazi wa dar kipindi cha mvua yaani foleni, mitaan maji yanajaa ila kuna faida zake

Mvua ya juzi ilinifanya niokote tende kwenye mwembe yaani mtoto ambaye nilikuwa namtolea macho pale kazini Anafanya moyo wangu utetemeke nikimuona juzi kajileta

Ilikuwa hivi me nimepanga karib na ofisin, Yeye anakaa mbali kidogo anapanda daladala sasa juzi tumetoka wote tukitumia mwavuli mmoja lengo anipeleke mimi geto then yeye nimwachie mwavuli aendee nao kwa kwa maana ofisini na geto kama dk 10 tu

Tumetoka ofisin vizuri tu tumefika mpaka geto nikamkaribisha ndani alikuwa anataka kukataa ila nikamuomba kweli alikubali

Ameingia ndani kama dk tatu akaniambia nguo yake ina unyevuinyevu anataka kunyoosha
nikamwambia sawa me natoka nje ukimaliza nambie akanambia we usijar baki tu ila nipe taulo au shuka nijifunge, nikampa kumbe aliifunga vibaya ile anainama anyooshe shuka ikadondoka akabaki na nguo zile za ndani tu.
Akasimama akawa ananiangalia, mtoto yuko vizuri, sikuchelewa kuwa responded kwenye ile hali nimekujistukia nipo kitandani na yule mtoto
hapo lazma ulipiga kavu kavu tu, kufa konda kufa dereva!
 
Duhh pole sana kama unaweza mkimbie sababu mshahara ukitoka tu anautaka na kumdanganya huwezi mapenzi ya ofisini yalishatuumiza pia kapime sbb utakuta hapo ofisini ww ndo ulikuwa umebaki kwenye listi yake ya kuwaambukiza sbb alinyeshewa makusudi kwa kukaa pembeni ya mwavuli ili akifika avue
 
Back
Top Bottom