Mvua ilivyonirahisishia kazi kwa huyu mtoto (Emergency love)

Mvua ilivyonirahisishia kazi kwa huyu mtoto (Emergency love)

Sasa kajihakiki kabisa ANGAZA bro,maana hiyo mvua inaweza kukuletea faida mbili kwa mpigo
 
Ameingia ndani kama dk tatu akaniambia nguo yake ina unyevuinyevu anataka kunyoosha
nikamwambia sawa me natoka nje ukimaliza nambie akanambia we usijar baki tu ila nipe taulo au shuka nijifunge, nikampa kumbe aliifunga vibaya ile anainama anyooshe shuka ikadondoka akabaki na nguo zile za ndani tu.
Akasimama akawa ananiangalia, mtoto yuko vizuri, sikuchelewa kuwa responded kwenye ile hali nimekujistukia nipo kitandani na yule mtoto
Hahahahahahaa kulikua na mada ya mpwa wangu The Boss juu ya kitendo cha.... kuwa sasa ni nani hapo ambae ndio alinaniliwa? Yeye au wewe??
 
hahahaha akwahio jamaa alikua domo zege hahahahhaaha

Sasa mwavuli si sh 3000 tu..why aombe lift ya mwavuli na amfuate jamaa hadi kwake?
we huoni huyu kahurumiwa tu...
 
Sasa mwavuli si sh 3000 tu..why aombe lift ya mwavuli na amfuate jamaa hadi kwake?
we huoni huyu kahurumiwa tu...
Halafu nusura kijana ashindwe kula tena, kha! Hii ingekuwa aibu ya mwaka, ndio maana jana nilisema kila "mwanaume" ana story to tell
 
Halafu nusura kijana ashindwe kula tena, kha! Hii ingekuwa aibu ya mwaka, ndio maana jana nilisema kila "mwanaume" ana story to tell

kabisa kijana katoa taulo akatoka nje
ikabidi dada alidondoshe hilo taulo....ha haaa...
 
kabisa kijana katoa taulo akatoka nje
ikabidi dada alidondoshe hilo taulo....ha haaa...
Nahisi hata nanihii ilibidi "ishtuliwe" kidogo, unakumbuka yale magari ya kuwasha kwa kuzungusha handle? Yaani mpaka utekenye tekenye kwanza ndio gari inawaka, hahahaha Vijana achene kula chips yai....madhara yake ni makubwa sana, saa hizi anakuja kuianika aibu yake hapa kwa wanaume
 
Wakuu kwanza kabisa kama mnavyojua kila kitu kina faida na hasira, mbali na shida zote tunazopata wakazi wa dar kipindi cha mvua yaani foleni, mitaan maji yanajaa ila kuna faida zake

Mvua ya juzi ilinifanya niokote tende kwenye mwembe yaani mtoto ambaye nilikuwa namtolea macho pale kazini Anafanya moyo wangu utetemeke nikimuona juzi kajileta

Ilikuwa hivi me nimepanga karib na ofisin, Yeye anakaa mbali kidogo anapanda daladala sasa juzi tumetoka wote tukitumia mwavuli mmoja lengo anipeleke mimi geto then yeye nimwachie mwavuli aendee nao kwa kwa maana ofisini na geto kama dk 10 tu

Tumetoka ofisin vizuri tu tumefika mpaka geto nikamkaribisha ndani alikuwa anataka kukataa ila nikamuomba kweli alikubali

Ameingia ndani kama dk tatu akaniambia nguo yake ina unyevuinyevu anataka kunyoosha
nikamwambia sawa me natoka nje ukimaliza nambie akanambia we usijar baki tu ila nipe taulo au shuka nijifunge, nikampa kumbe aliifunga vibaya ile anainama anyooshe shuka ikadondoka akabaki na nguo zile za ndani tu.
Akasimama akawa ananiangalia, mtoto yuko vizuri, sikuchelewa kuwa responded kwenye ile hali nimekujistukia nipo kitandani na yule mtoto
ukipima afya halafu ugundue uko positively charged uje uishukuru mvua humu
 
Back
Top Bottom