Mvua inanyesha .

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
nipo ndani nachati chati whatsap naingia fb instagram jamiiforum ila nje mvua inanyesha.
nilikuwa nimewasha feni nimeona bora nizime baridi limekuwa kali sana afu sina demu wa kulala naye natamani niangalie ex .
 
haaaaaaaaaaaaa uangalie nn? bila shaka ww wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…