Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tugawie kidogo huko maana twakaukaMvua kubwa inayoendelea kunyesha hapo ni hatari kwa mazao na mazingira kiujumla
Wasukuma wameshafanya yao! Ama ndio zile mvua za kikanda?Mvua kubwa inayoendelea kunyesha hapo ni hatari kwa mazao na mazingira kiujumla
Mwanza sehem gani mkuu maan me wilaya nlipo mvua ilinyesha mara moja tu toka mwezi wa kumiMvua kubwa inayoendelea kunyesha hapo ni hatari kwa mazao na mazingira kiujumla
Mbona mnakuwa wabinafsi hivyo?Kila kitu mnataka kiwe Dar?Hata mvua hamtaki iwanyeshee wasugunsu?😂😂😂😂Yaan mvua inaacha kunyesha Dar inaenda kunyesha Mwanza ? 😬
Mvua ilibidi inyeshe Dar huku ukame tu hakuna maji tukinge hata majaba mawili tu ya kuoga ikiwezekana tuoge nje kabisa maana hali sio hali, timeanza kunuka kwapa 😬Mbona mnakuwa wabinafsi hivyo?Kila kitu mnataka kiwe Dar?Hata mvua hamtaki iwanyeshee wasugunsu?😂😂😂😂
acha waone motoHahaha dar dhambi nyingi