Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Inyeshe huku mlimani izime moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupiako basi kapicha sisi kina Thomaso tukuamini.Inanyesha mkuu
Ajabu kabisa hii.Hata mvua?😂😂😂Hahaha watu wa daslam wanataka kila kitu kiwe chao
hao askari wa misitu wanakaz ganInyeshe huku mlimani izime moto
Asee kumbe kweli nimetumiwa picha yani watu full furaha hadi madogo wanacheza nje kwenye mvua.Mvua kubwa inayoendelea kunyesha hapo ni hatari kwa mazao na mazingira kiujumla
Waulize inyeshe dar wanalima Nini hao nguchiro.Mbona mnakuwa wabinafsi hivyo?Kila kitu mnataka kiwe Dar?Hata mvua hamtaki iwanyeshee wasugunsu?😂😂😂😂
Mji umejaa matapeli ule.Sasa mvua ikinyesha sijui wataishi vipi?Na hata ikinyesha ni siku mbili tu utawaona wanavyoning'inia kwenye mapaa kwa mafuriko.Hawa watu hawana shukrani.Waulize inyeshe dar wanalima Nini hao nguchiro.
Asee kumbe kweli nimetumiwa picha yani watu full furaha hadi madogo wanacheza nje kwenye mvua.View attachment 2402137
Wanapenda kuchinjiwa kuku hao balaa!Zawadi wanazoleta ni mikate ya buku jero.Jamaa ni mateepee!😂😂😂😂Wana wivu sana tutawapiga stop kuja mikoani