Mvua inayoendelea kunyesha huko Mwanza ni hatari

Mvua ilibidi inyeshe Dar huku ukame tu hakuna maji tukinge hata majaba mawili tu ya kuoga ikiwezekana tuoge nje kabisa maana hali sio hali, timeanza kunuka kwapa 😬
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…