Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
Yuko sahihi ondoa hofu.Habari ya muda huu wakuu? Nina kajumba kangu ambako nilikuwa nimemaliza kupua jana. Nilipanga jumatatu nikafate mabati ili nije kumalizia lakini naona leo mvua inanyesha, jambo ambalo limenikosesha raha kwa sababu kwa ufuatiliaji wangu humu nimeona watu wengi wanasema mbao zikinyeshewa afu zikakauka zitapinda. Nimemuuliza fundi amenihakikishia tuko salama, zikinyeshewa siku moja sio mbaya. Je, hili ni kweli wadau? Anasema labda mvua inyeshe mwezi mzima ndo hapo zinaweza kupinda
Usijal Mkuu, haziwezi kupinda kwa mvua ya 1 weekHabari ya muda huu wakuu? Nina kajumba kangu ambako nilikuwa nimemaliza kupua jana. Nilipanga jumatatu nikafate mabati ili nije kumalizia lakini naona leo mvua inanyesha, jambo ambalo limenikosesha raha kwa sababu kwa ufuatiliaji wangu humu nimeona watu wengi wanasema mbao zikinyeshewa afu zikakauka zitapinda. Nimemuuliza fundi amenihakikishia tuko salama, zikinyeshewa siku moja sio mbaya. Je, hili ni kweli wadau? Anasema labda mvua inyeshe mwezi mzima ndo hapo zinaweza kupinda
Kuna jamaa aliagiza mabati nje ya nchi, wakati akiyasubiri alikuwa ameshapita mbao tayar,,,,, zilinyeshewa tangu September mwaka jana amekuja kupaua May this yearHabari ya muda huu wakuu? Nina kajumba kangu ambako nilikuwa nimemaliza kupua jana. Nilipanga jumatatu nikafate mabati ili nije kumalizia lakini naona leo mvua inanyesha, jambo ambalo limenikosesha raha kwa sababu kwa ufuatiliaji wangu humu nimeona watu wengi wanasema mbao zikinyeshewa afu zikakauka zitapinda. Nimemuuliza fundi amenihakikishia tuko salama, zikinyeshewa siku moja sio mbaya. Je, hili ni kweli wadau? Anasema labda mvua inyeshe mwezi mzima ndo hapo zinaweza kupinda