Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kila siku ahadi uchwara tuDsm kipindi Cha mvua inakuwaga ya hovyo mno, miundombinu bado ni ya hovyo na mamlaka zipo miaka nenda Rudi na wanaliona tatizo na hakuna wanachofanya
Tupeleke kwa maelezo mkuu, pana nini huko?Hamjapelekwa Alabama bado?
Shida ni kuwa hawategemei kura yako ili waendelee kuwepo madarakani, wameshazoea kukwiba chaguzi, ndo maana tunasema No Reform no ElectionKila siku ahadi uchwara tu
πππππHamjapelekwa Alabama bado?
Ripoti ya CAG, si umeisoma mkuuHapa ni roundabout ya kawe hadi karibu na njia ya ilipokuwa triple 7... Mvua kidogo tu hali imekuwa hivi...
Barabara nyingine hazina mitaro, nyingine mitaro imeziba. Sijui huwa wanazingatia nini wanapojenga hii miundombinu, wawawazi hali tofautitofauti za hewa.
View attachment 3293920