Mvua kidogo tu roundabout kawe hapatamaniki. Miundombinu ni dhaifu

Mvua kidogo tu roundabout kawe hapatamaniki. Miundombinu ni dhaifu

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Hapa ni roundabout ya kawe hadi karibu na njia ya ilipokuwa triple 7... Mvua kidogo tu hali imekuwa hivi...

Barabara nyingine hazina mitaro, nyingine mitaro imeziba. Sijui huwa wanazingatia nini wanapojenga hii miundombinu, wawawazi hali tofautitofauti za hewa.
 
Na mbunge wa kawe yuko bize na waumini wake kanisani
 
Back
Top Bottom