Ikinyesha, So what?Huku Mbezi ya Magufuli mvua inanyesha balaa vipi huko kwenu
Huku Mbezi ya Magufuli mvua inanyesha balaa vipi huko kwenu
Huku Mbezi ya Magufuli mvua inanyesha balaa vipi huko kwenu
TaarifaIkinyesha, So what?
Huku Kibaha ni manyunyu tuuHuku Mbezi ya Magufuli mvua inanyesha balaa vipi huko kwenu
Huku hakuna mvua kaka mitaa ya kinondoniHuku Mbezi ya Magufuli mvua inanyesha balaa vipi huko kwenu
Mbezi malamba hii mvua sio ya kitoto hata kutoka nje haiwezekani. Ni kubwa mnoHuku Mbezi ya Magufuli mvua inanyesha balaa vipi huko kwenu
Tukinge maji mzee, si unajua maji ni shidaIkinyesha, So what?
Huku shamba hamna mvua, ni kama dhambi zimezidiHuku Kibaha ni manyunyu tuu