Mvua kubwa Mbezi Luis

Mvua kubwa Mbezi Luis

Mwanza mjini kuna wingu limetanda,, muda wowote mvua itashuka
 
Huku shamba hamna mvua, ni kama dhambi zimezidi
IMG-20230113-WA0054.jpg
 
Hiyo ni baraka, kupunguza joto, ni kujihadhari tu na mafuriko. Acha nguvu za asili zifanye kazi. Vipi wale wenye uwezo wa kucheza na hizi nguvu wanasemaje?
 
Back
Top Bottom