Mvua kubwa mkoani Morogoro

Mvua kubwa mkoani Morogoro

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Imezoeleka mvua kunyesha kati ya Oktoba- Januari na Machi - Mei kila mwaka, na Juni - Septemba kuwa kipindi cha vumbi jingi, lakini imekuwa tofauti hivi sasa mvua kubwa inanyesha usiku huu hii ni ishara ya kuwepo mabadiliko ya tabia nchi.
 
Baraka hiyo mkuu...piga magoti tushukuru Mungu!
 
Back
Top Bottom