Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jul 14, 2021 #1 Imezoeleka mvua kunyesha kati ya Oktoba- Januari na Machi - Mei kila mwaka, na Juni - Septemba kuwa kipindi cha vumbi jingi, lakini imekuwa tofauti hivi sasa mvua kubwa inanyesha usiku huu hii ni ishara ya kuwepo mabadiliko ya tabia nchi.
Imezoeleka mvua kunyesha kati ya Oktoba- Januari na Machi - Mei kila mwaka, na Juni - Septemba kuwa kipindi cha vumbi jingi, lakini imekuwa tofauti hivi sasa mvua kubwa inanyesha usiku huu hii ni ishara ya kuwepo mabadiliko ya tabia nchi.
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Jul 14, 2021 #2 Baraka hiyo mkuu...piga magoti tushukuru Mungu!
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jul 14, 2021 Thread starter #3 Twilumba said: Baraka hiyo mkuu...piga magoti tushukuru Mungu! Click to expand... Amen!
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 3,629 Reaction score 4,831 Jul 14, 2021 #4 Hiyo ni neema.
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,945 Reaction score 5,733 Jul 14, 2021 #5 Tembo anazaa ukiona hivyo
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Jul 14, 2021 #6 Hata huku jiji la makala tumeona mawingu....