Mvua kubwa sana Dodoma kwa wapenda kwichi kwichi hali ya hewa inaruhusu

Wadau zaidi ya masaa mawili hapa Dom town mvua inanyesha kubwa hatari baridi la kufa mtu yaani hali ya ni murua kabisa kwa mambo ya kwichi kwichi yaani hapa naona Leo mtu na mtu mpka atoke mtu
Mzee wa liver heri ya mwaka mpya... Nauliza hivi wewe kwichi kwichi hupendiii?[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cc:malkia ya mas.....popote ulipo waibiwa huku[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Salama kabisa mkuu tumeuona kwa mwanume rijali kwichi ndio mpango[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cc:malkia ya mas.....popote ulipo waibiwa huku[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aisee utaharibu mambo piga kimya
Hila nimemuita sana Jana Leo kaja kwenye Uzi wetu pendwa
 
Mvua kubwa sana inapiga Dodoma sasa hivi na umeme umekatika,tupeane updates za maeneo mlipo wengine..
 
Dodoma Leo baridi jaman Uwiii mvua Hakuna Umeme mbn makubwa
 
Wadau zaidi ya masaa mawili hapa Dom town mvua inanyesha kubwa hatari baridi la kufa mtu yaani hali ya ni murua kabisa kwa mambo ya kwichi kwichi yaani hapa naona Leo mtu na mtu mpka atoke mtu
Bado inaendelea kunyesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…