Mvua kubwa sana Dodoma kwa wapenda kwichi kwichi hali ya hewa inaruhusu

Mvua kubwa sana Dodoma kwa wapenda kwichi kwichi hali ya hewa inaruhusu

We're the AUTHORS of OUR OWN DESTINY .... you're the ONLY ONE to CREATE YOUR FUTURE .... don't wait for others to create your destiny ....

Watu waweza kuwa walewale lakini wewe ukawa na MALENGO yako na MIKAKATI ni namna gani utayafikia malengo yako
Amina Mkuu tupo pamoja
 
Yan hii baridi ndo yakufa mtu??
Vyasaka akili zenu ni za kimasikini sana!

Tufanye bei ya gari ni milion 8 au 10.

Hapo mtu anamudu maisha mjini na familia.

Ameweka mafuta anaenda kwao Moshi kufanya sherehe.

Bado anarudi mjini kuendelea na biashara yake.

Huyu bado ni masikini?

Kati ya aliye na gari na mwenye baiskeli, ni yupi tajiri; mathalani, gari inapata service na ipo katika hali nzuri?

Huyu ni masikini?

Sisi ni wachapa kazi; si bure, na kwa mila zetu, mtu asiyetafuta pesa ni kishoia na atadharaulika, na hakuna Mchagga anayependa hilo limtokee iwe wa kiume au wa kike kazi ni kazi kwenda mbele.

Vyasaka mlie tuu, uchumi wa nchi upo mikononi mwetu.

Kama upo Dar jiulize ni kwa nini foleni haipo kwa wakati huu, na imehamia Arusha na Moshi?

Jiulize kwanini biashara Dar imedoda wakati huu?

Jibu ni kwamba Wachagga tupo kwetu.
Kula like wape maneno agiza kill naja lipa [emoji23]
Wadau zaidi ya masaa mawili hapa Dom town mvua inanyesha kubwa hatari baridi la kufa mtu yaani hali ya ni murua kabisa kwa mambo ya kwichi kwichi yaani hapa naona Leo mtu na mtu mpka atoke mtu
 
Nendeni duniani mkaijaze Dunia wewe unapingana na maandiko ama
Ukishaijaza hiyo dunia kisha hao watoto wasiwe na MBELE wala NYUMA itakuwa ni BUSARA ama MATOPE ....

Kamwe sitaweza kupingana na MAANDIKO kama ulivyo quote but nakupa pia MAANDIKO kama angalizo ... biblia yasema, "ALAANIWE ASIYE WATUNZA WATU WA NYUMBANI KWAKE ..." na mahali pengine mtu kama huyo anakuwa referred kama MTU MBAYA KULIKO ASIYEAMINI .....
 
Mkuu nipo pamoja Na wewe
 
Back
Top Bottom