Vyasaka akili zenu ni za kimasikini sana!
Tufanye bei ya gari ni milion 8 au 10.
Hapo mtu anamudu maisha mjini na familia.
Ameweka mafuta anaenda kwao Moshi kufanya sherehe.
Bado anarudi mjini kuendelea na biashara yake.
Huyu bado ni masikini?
Kati ya aliye na gari na mwenye baiskeli, ni yupi tajiri; mathalani, gari inapata service na ipo katika hali nzuri?
Huyu ni masikini?
Sisi ni wachapa kazi; si bure, na kwa mila zetu, mtu asiyetafuta pesa ni kishoia na atadharaulika, na hakuna Mchagga anayependa hilo limtokee iwe wa kiume au wa kike kazi ni kazi kwenda mbele.
Vyasaka mlie tuu, uchumi wa nchi upo mikononi mwetu.
Kama upo Dar jiulize ni kwa nini foleni haipo kwa wakati huu, na imehamia Arusha na Moshi?
Jiulize kwanini biashara Dar imedoda wakati huu?
Jibu ni kwamba Wachagga tupo kwetu.