Mvua kubwa uko manungu

karue

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
203
Reaction score
435
Kama tunavyojua mnyama simba anapepetana na mtibwa sugar katika uwanja wa manungu complex

Mvua kubwa Sana imenyesha maji ni mengi mengi uwanjani na nje ya uwanja

Tunasubili kujua hatima ya mchezo huu
Bechi la ufundi la simba limeingia uwanjani kukagua uwanja Kama utafaa au la!!
 
Sheria gani inaruhusu benchi la timu kukagua uwanja kama unafaa??
 
Kichwa kibovu mzee, KAMISHNA NA REFARII PEKEE NDIO WANAAMUA GAME ICHEZWE AU ISITISHWE. WE UNADHANI GAME YA KIRAFIKI HIYO??
Acha uongo wewe ikitokea hali kama hiyo kamati iliyokaa kwenye prematch ikihusisha pande zote mbili ndo wanatakiwa wakubaliane kama match Ichezwe kwenye hali kama hiyo ama lah! Na sio maamuzi ya huyo kamishna na refarii pekee.. reference kwenye game ya simba na almasry refer alisimamisha game baada ya mvua kubwa kunyesha ilipokata Aliita pande zote mbili kuwauliza kama wahirishe match hadi siku inayofuata ili kumalizia muda uliobaki? Almasry waliomba game iendelee wamalizie hivyohivyo.. kilichofuata refer akaweka mpira Kati game ikaendelea kwenye maji hivyohivyo... pia refer match ya aly ismail ya misri na simba..ismail walikuwa tayari wamekoga goli mbili bahati mbaya mvua ilishuka nzito match ikasimamishwa kilichofuata game ikahirishwa hadi siku ya tatu likn baada ya kamati pamoja na pande mbili kukubaliana.. ko benchi la simba limeenda kujiridhisha ili wawe na cha kuongea kwenye kamati ya maamuzi
 
Makolo mmeshaanza kutafuta Simpathy hapa,, uwanja uko vizuri na muende mukabomolewe huko Leo, bila kusahau Kagera Sugar wanawasubiri kule Kaitaba tena wamewawekea na taa za kutosha
 
Unajua utopolo wapo kubisha tu hata Sheria hawajui
 
Kasome sheria vizuri. Ni REFA NA KAMISHNA TU ndio wanaamua kama game ichezwe au isichezwe. Hata kama timu zikitaka game isichezwe refa akiamua ichezwe inachezwa.
 
Kama sheria/ utaratibu upo hivyo kwanini kocha wa red arrows alilalamika kutokuhairishwa kwa mechi wakati yeye alitaka mechi ihairishwe kutokana na hali ya uwanja?
 
Kwanini Simba mwaka huu inaziogopa hizi timu za wakata miwa?

Kagera mmewakimbia, na hawa Mtibwa wameshapakaa vumbi la Congo mnataka kukimbia pia, leo hakuna kukimbia mechi lazima ichezwe, mbinu za viporo mwaka huu hakuna.
 
Kama sheria/ utaratibu upo hivyo kwanini kocha wa red arrows alilalamika kutokuhairishwa kwa mechi wakati yeye alitaka mechi ihairishwe kutokana na hali ya uwanja?
Sio kweli unachongea hakuna sehemu kocha wa red arrows inaonyesha alikataa match isichezwe kwa sababu ya uwanja..isitoshe uwanja wa taifa ulikuwa kwenye hali nzuri tofautisha na manungu. kocha wao alipohojiwa alilalamikia maamuzi kwamba waamuzi wetu ni wa kikanda (hakuridhika na uamuzi na sio hali ya uwanja)
 
Bwege wewe hata maji yakifika magotini akiamua refa match ichezwe inachezwa tu!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] akili yako haiko sawa, sasa maji yanafikaje magotini?? Maamuzi ya kughairisha mechi ipo mikononi mwa refa sio viongozi wa TIMU.
 
HALI NZURI??
 
Nimegundua hii timu baada ya kugundua inakikosi kibovu imeamua kutafuta sababu zozote ili ikwepe kupeleka timu uwanjani, tumeona kwny mechi ya simba na Yanga ilitafutwa sababu ya kukwepa mchezo kisa ni uwepo wa mabango ya mdhamini uwanjani, bahati nzuri yakatolewa mapema, tukaona kwa kagera sugar timu nzima iliugua mafua masaa mawili kabla ya muda wa mechi ili ikimbie mechi, leo tena wanasingizia mvua ili wakimbie mechi
 
Acha akili za kipumbavu! Angalia hali ya uwanja, kama hata umeona video za uwanja na watu wako eneo la tukio, uwanja maji yanajaa hadi yanapunguzwa na ndoo, ni uwanja wa mpira au swimming pool..ushabiki mwingine wa kipumbavu.
Umepanic? Kunywa maji mengi mkuu, huu mchezo hauitaji hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…