Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Mvua ikinyesha Simba ana shinda " maneno ya mashabiki wa Simba tokea enzi na enzi.Kama tunavyojua mnyama simba anapepetana na mtibwa sugar katika uwanja wa manungu complex
Mvua kubwa Sana imenyesha maji ni mengi mengi uwanjani na nje ya uwanja
Tunasubili kujua hatima ya mchezo huu
Bechi la ufundi la simba limeingia uwanjani kukagua uwanja Kama utafaa au la!!
TENA TUKAWATOAMakolo wenzangu tucheze hivyo hivyo kwenye majaruba, mbona wazambia tuliwafunga