Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
ata huku ni hivyohivyo, hadi maji yanaingia dirishani.
Wajameni
Eneo ninaloishi mimi hapa Dar, kuna mvua kubwa balaa iliyoambatana na upepo mkali wa hatari inayonyesha sasa, siwezi kutoka kwenda kazini na watoto nimewazuia wasiende shule!.
Vipi upande wa eneo lako mvua hii imefika au ni kwa baadhi ya maeneo tuu?!.
.Jiandaeni na mafuriko...
.
Unachekelea mafuriko au
poleni sana!
Na foleni ya Dar, leo sio siku ya kwenda kazini.
Makazini hamna watu, ofisi zote zimehamishiwa nyumba za wageni
Wajameni
Eneo ninaloishi mimi hapa Dar, kuna mvua kubwa balaa iliyoambatana na upepo mkali wa hatari inayonyesha sasa, siwezi kutoka kwenda kazini na watoto nimewazuia wasiende shule!.
Vipi upande wa eneo lako mvua hii imefika au ni kwa baadhi ya maeneo tuu?!.
Unasema kweli?! mbona hapa Vwawa ni vumbi kabisa hakuna mvua hata tone?!