Mvua hiyo kubwa imenyesha leo katika Manispaa ya Bukoba na kuwaachia hasara kubwa wananchi wengi hasa walio karibu na mto Kanoni.
Nyumba nyingi zimezingirwa na maji, huku maeneo mengine nyumba zikiwa zimeezuliwa paa kutokana na upepo mkali.
Moja ya nyumba ya ibada iliyopata madhara hayo ni Kanisa Katoliki Parokia ya Rwamishenye ambayo paa limeezuliwa huku waumini wakiwa wanasali Rozari Takatifu
Pia baadhi ya mazao yameharibiwa vibaya na mvua.
TANESCO mkoa wa Kagera imetoa hadhari kubwa kwa wananchi kuwa makini na miundombinu ya umeme na kuwataka kutoa taarifa endapo wataona nguzo ya umeme iliyoanguka.
Mvua hiyo kubwa imenyesha leo katika Manispaa ya Bukoba na kuwaachia hasara kubwa wananchi wengi hasa walio karibu na mto Kanoni.
Nyumba nyingi zimezingirwa na maji, huku maeneo mengine nyumba zikiwa zimeezuliwa paa kutokana na upepo mkali.
Pia baadhi ya mazao yameharibiwa vibaya na mvua.
TANESCO mkoa wa Kagera imetoa hadhari kubwa kwa wananchi kuwa makini na miundombinu ya umeme na kuwataka kutoa taarifa endapo wataona nguzo ya umeme iliyoanguka.
Mvua hiyo kubwa imenyesha leo katika Manispaa ya Bukoba na kuwaachia hasara kubwa wananchi wengi hasa walio karibu na mto Kanoni.
Nyumba nyingi zimezingirwa na maji, huku maeneo mengine nyumba zikiwa zimeezuliwa paa kutokana na upepo mkali.
Pia baadhi ya mazao yameharibiwa vibaya na mvua.
TANESCO mkoa wa Kagera imetoa hadhari kubwa kwa wananchi kuwa makini na miundombinu ya umeme na kuwataka kutoa taarifa endapo wataona nguzo ya umeme iliyoanguka.
Mvua hiyo kubwa imenyesha leo katika Manispaa ya Bukoba na kuwaachia hasara kubwa wananchi wengi hasa walio karibu na mto Kanoni.
Nyumba nyingi zimezingirwa na maji, huku maeneo mengine nyumba zikiwa zimeezuliwa paa kutokana na upepo mkali.
Pia baadhi ya mazao yameharibiwa vibaya na mvua.
TANESCO mkoa wa Kagera imetoa hadhari kubwa kwa wananchi kuwa makini na miundombinu ya umeme na kuwataka kutoa taarifa endapo wataona nguzo ya umeme iliyoanguka.
Ndiyo maisha tuliyochagua. Tunajenga bila kuweka miundo mbinu ya mifereji na tunalipua kuanzia ujenzi mpaka upauaji.... Tunalifuata balaa badala ya balaa kutufuata.
Wana Jamii From! Bila yakupoteza muda naomba kufahamu jambo moja zito ambalo kwa uelewa wangu nimeshindwa lipatia majibu! Hivi inawezekana vipi Mtumishi wa Mungu Padre awe mwanajeshi tena komandoo?? Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya...
Leo nimepata taarifa kutoka kijiji cha lwamishenyi yakuwa mvua kubwa zilizonyesha leo zimepelekea kanisa kubwa la katoliki na makazi ya wananchi wengi kuenguliwa na upepo mkali sanaaaa
Wananchi zaidi ya 50 hawana makazi je hii sio habari?
Ila angekuwepo mwendazake mngeandika ili apate la kusema kama kawaida yake
Ukimwi nyie,mto ngono nyie,tetemeko nyie,na leo upepo nyie?

TMA tuwape maua yao kwa utabiri wao wa mvua kubwa kunyesha mwezi october na kuonya mapema wananchi wachukue tahadhari. Ila kuna mikoa october inapita bila mvua kunyesha imebaki wiki moja mvua haijanyesha, hata hivyo wananchi waendelee kuchukua tahadhari msimu wa mvua za vuli unaanza