Mvua kubwa zimesababisha mafuriko makubwa katika kisiwa cha Rhodes nchini Ugiriki

Mvua kubwa zimesababisha mafuriko makubwa katika kisiwa cha Rhodes nchini Ugiriki

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mvua kubwa zinazoambatana na radi na ngurumo zimesababisha mafuriko makubwa katika kisiwa cha Rhodes nchini Ugiriki.​

Kwa mujibu wa taarifa za eneo hilo, tahadhari ya dharura ilitumwa kwa wakazi na wageni mapema Jumatatu, Novemba 2, baada ya kina cha maji kuongezeka na kusababisha mafuriko.

Dhoruba ya Agneta, ambayo kwa sasa ipo karibu na pwani ya kusini-magharibi mwa Italia, inatarajiwa kuingia nchini Ugiriki Jumatatu usiku na kuendelea hadi Jumanne, huku ikitarajiwa kuleta mvua kubwa katika maeneo mbalimbali pamoja na upepo mkali.
============
Heavy thunderstorms have brought severe flooding to the island of Rhodes in Greece. Local reports say an emergency alert was sent to residents and visitors in the early hours of Monday (2 November) as water levels rose.

Storm Agneta, currently off the coast of south-west Italy, is expected to move into Greece on Monday night and into Tuesday, bringing further widespread heavy rain and strong winds.

Top
 
WAZUNGU MAISHA MAGUMU KAZI HAKUNA na Majanga ndio kwanza yanataka kuweka kambi pande zao!!!!
 
WAZUNGU MAISHA MAGUMU KAZI HAKUNA na Majanga ndio kwanza yanataka kuweka kambi pande zao!!!!
Ni wakati mzuri sasa waende zanzibar wakalambe ajira
 
Huku Ikweta jua kali la utosi kama kawaida yetu
 
mimi naamini Afrika mashariki ni ukanda mzuri sana kijiografia, kila hali ya hewa ni ya wastani
 
Back
Top Bottom