Mvua muda mwingine inaboa

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
leo niliacha maji nje kwenye ndoo nilitaka kwenda kuoga, wakati nipo ndani mvua ikanyesha nikatoka nje baada ya mvua kuisha ili nikaoge nimekuta maji yangu yote yamelowa, nimekasirika kweli

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
Akili yako unaielewa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…