leo niliacha maji nje kwenye ndoo nilitaka kwenda kuoga, wakati nipo ndani mvua ikanyesha nikatoka nje baada ya mvua kuisha ili nikaoge nimekuta maji yangu yote yamelowa, nimekasirika kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.