Kumekuwa na ukame mkubwa ambapo mvua zilikosa kabisa kunyesha. Sasa imeanza kunyesha. Watu wamepanda mahindi na mazao mengine. Kinachoonekana ni kuwa zinanyesha bila kukatika na hivyo kila mmea kuoza. Tunaomba mvua za kiasi si za laana
Likija jua kila kitu kinakauka. Jua la laana! Nchi gani hii haina kipimo?
Serikali haina kipimo, wanabariki sheria za hovyo.
Wabunge akina Salma Kikwete hawaka kipimo, wanajilimbiizia mahela ya wananchi
Mahakama haina kipimo, inaikumbatia serikali. Angali danadana za AG na Peter madeleka wanavyomngagani as if hana haki kukaa Tanzania.
Bunge halina kipimo, imekuwa sehemu ya serikali! kusanyiko la wahuni, walaji, wacheza mdundiko and the like
NA MWISHO RAIS HANA KIPIMO ANAUZA KILA RASILIMALI YA TAIFA HILI