Mvua ndiyo ilikuwa tatizo Uwanjani. Tumejua makosa yetu ni...

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Mvua jana ndo ilitunyima ushindi. Uwanja ukawa unateleza. Na pia iliondoa .... Kabisa. Waarabu wanatumia sana majini.

Morrison hakuwa wa kukosa lile goal. Namjua Morrison maeneo kama yale. Lakini wale washenzi walikuwa na majini yao hadi uwanjani. Tumepambana sana tulikosea padogo tu. Ila tunaenda waondolea kule kule kwao.
 
Sasa hayo majini mmeshindwa kuyacontrol huku kwenu... changanya na mizimu yenu hapo kwa mkapa na mizimu ya serikali imeshindwa...ndo itakua kwao huko hayo majini yakipunguza kasi wanafanya tuu kuyavuta hapo jirani wanajaza kikosi mnadhani mnacheza na watu 11 kumbe kikosi kipo nyomi mtu 32... 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Sasa hayo majini mmeshindwa kuyacontrol huku kwenu... changanya na mizimu yenu hapo kwa mkapa na mizimu ya serikali imeshindwa...ndo itakua kwao huko hayo majini yakipunguza kasi wanafanya tuu kuyavuta hapo jirani wanajaza kikosi mnadhani mnacheza na watu 11 kumbe kikosi kipo nyomi mtu 32... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu jf hakuna wanaojua mpira ni zero brain ,kaa huyu mtoa maada ...

Hivi kweli yanga uwanja wa nyumbani analaumu mvua ,wakati wageni wametumia huo huo uwanja wenye mvua kushinda [emoji23] mbona kama wewe ndio mpumbavu ...

Tafuta hoja za msingi ,za kimbinu kwanin mmefungwa ....

Vile vile heshimu mpinzani ,ilikuwa 11men vs 11 men ,,,,mpinzani kawazidi mbinu jifunzeni kuappriciate wapinzani mbwa nyie [emoji23]
 
Mvua jana ndo ilitunyima ushindi. Uwanja ukawa unateleza. Na pia iliondoa .... Kabisa. Waarabu wanatumia sana majini.

Morrison hakuwa wa kukosa lile goal. Namjua Morrison maeneo kama yale. Lakini wale washenzi walikuwa na majini yao hadi uwanjani. Tumepambana sana tulikosea padogo tu. Ila tunaenda waondolea kule kule kwao.
Kwani wao hawajawakosa magoli ya wazi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mvua jana ndo ilitunyima ushindi. Uwanja ukawa unateleza. Na pia iliondoa .... Kabisa. Waarabu wanatumia sana majini.

Morrison hakuwa wa kukosa lile goal. Namjua Morrison maeneo kama yale. Lakini wale washenzi walikuwa na majini yao hadi uwanjani. Tumepambana sana tulikosea padogo tu. Ila tunaenda waondolea kule kule kwao.
Majíni tena mkuu🤣🤣🤣😂😂😂😂 sio timu mbovu
 
Back
Top Bottom