oscar mwankina
Senior Member
- Feb 10, 2013
- 187
- 118
Mtulie makwenu na wapendwa wenuWaswahili tunaamini kuwa mvua ni Baraka hasa ikinyesha taratibutaratibu kama hii ya Leo Dar.Daah! Nimenyeshewa tangu nilipotoka tu mlango wa Kanisa Pale Kinondoni had Home.kama Kuna watu watatoka out Leo basi ni wale waliokubuhu sana.
Mtulie makwenu na wapendwa wenu
Nikidhania kuwa ulibarikiwa kwa hiyo mvua kumzuia asiondoke kumbe ni baraka kwa kuwa unajifanya umeshindwa kwenda bucha kununua nyama!! Dah! Hujui tulikuwa tumefunga Kwaresima bila kula nyama na leo ndo tungefungua kumbe mvua ikawa balaa tukashinda home?
Mvua kwetu wengine imekuwa balaaaa
Raha ya hiyo mvua ni kuwa na promise ya ukweli.Waswahili tunaamini kuwa mvua ni Baraka hasa ikinyesha taratibutaratibu kama hii ya Leo Dar.Daah! Nimenyeshewa tangu nilipotoka tu mlango wa Kanisa Pale Kinondoni had Home.kama Kuna watu watatoka out Leo basi ni wale waliokubuhu sana.
Kwa mvua ipi ya kufanya watu wastoke
Raha ya hiyo mvua ni kuwa na promise ya ukweli.
Kwa mvua ipi ya kufanya watu wastoke
Acha lelemama hebu toka nje kaoge maji ya mvua.