Mvua ni Baraka

Mvua ni Baraka

oscar mwankina

Senior Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
187
Reaction score
118
Waswahili tunaamini kuwa mvua ni Baraka hasa ikinyesha taratibutaratibu kama hii ya Leo Dar.Daah! Nimenyeshewa tangu nilipotoka tu mlango wa Kanisa Pale Kinondoni had Home.kama Kuna watu watatoka out Leo basi ni wale waliokubuhu sana.
 
Mtulie makwenu na wapendwa wenu
 
Nikidhania kuwa ulibarikiwa kwa hiyo mvua kumzuia asiondoke kumbe ni baraka kwa kuwa unajifanya umeshindwa kwenda bucha kununua nyama!! Dah! Hujui tulikuwa tumefunga Kwaresima bila kula nyama na leo ndo tungefungua kumbe mvua ikawa balaa tukashinda home?
Mvua kwetu wengine imekuwa balaaaa
 
Jamani, Karibuni kwangu
Nikidhania kuwa ulibarikiwa kwa hiyo mvua kumzuia asiondoke kumbe ni baraka kwa kuwa unajifanya umeshindwa kwenda bucha kununua nyama!! Dah! Hujui tulikuwa tumefunga Kwaresima bila kula nyama na leo ndo tungefungua kumbe mvua ikawa balaa tukashinda home?
Mvua kwetu wengine imekuwa balaaaa
 
Waswahili tunaamini kuwa mvua ni Baraka hasa ikinyesha taratibutaratibu kama hii ya Leo Dar.Daah! Nimenyeshewa tangu nilipotoka tu mlango wa Kanisa Pale Kinondoni had Home.kama Kuna watu watatoka out Leo basi ni wale waliokubuhu sana.
Raha ya hiyo mvua ni kuwa na promise ya ukweli.
 
Back
Top Bottom