Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Wakati Israel ikijiandaa kuivamia Gaza, kulitokea kimbunga kikali sana na mvua kubwa iliyoahirisha mipango ya Israel kuingiza majeshi yake Gaza.
Hali hiyo imeweka presha kubwa kwa serikali ya Netanyahu kwanza kudeal na janga hilo la ndani kabla ya kupeleka majeshi Gaza.
Wakati huohuo Hizbollah wameendelea kulipua mitambo ya kielectronic ya kidukuzi iliyosimikwa upande wa Israel ambayo kazi yake ilikuwa ni kufuatilia nyendo za vikosi vya Hizbollah.
Hizbollah imetoa red line kwa Israel kuwa kitu kimoja kitakachosababisha wakiwashe kiukwelikweli ni kwa Israel kuvamia Gaza.
Ifahamike kuwa Hizbollah ana makombora mazito yanayofika 150000 ambayo yanaweza kupiga sehemu yoyote ndani ya ardhi ya Israel.
Wacambuzi wa mambo wanasema kuwa licha ya Israel kuwa na mifumo bora kabisa ya ulinzi wa anga ya Iron dome, lakini takwimu zinaonyesha kuwa ufanisi wake hupungua pale makombora mengi yanapotumwa kwa wakati mmoja.
Kwa hiyo wana uhakika kuwa Yapo makombora ya Hizbollah yatakayopenya hata kama mengine yatadakwa. Na pia wameonya kuwa kikawaida Israel ndiyo hupeleka maumivu kwa raia wa nchi nyingine inazopigana nazo, lakini safari hii vita ikitokea raia wa Israel nao wajiandae kuwa wakimbizi ndani ya Israel maana hawatokuwa salama pindi makombora yatakapokuwa yanayesha.
Wachambuzi wa mambo wakaendelea kuonya kuwa infrastructure muhimu kama vile mitambo ya umeme, viwanja vya ndege, na magahala ya mafuta ya Israel nayo ytakuwa katika target.
Hata hivyo Israel nayo ina uwezo mkubwa wa kupeleka maumivu na hasara kubwa sana kwa lebanon, maana ina jeshi bora kabisa la anga na ndege bora kabisa za kivita.
Lakini tatizo linakuja kuwa haitaisaidia tena Israel kuharibu kwa mwenzie kama kwako pia kunaharibiwa, na hili ndo linalifanya Israel issiguse Hizbollah kwa sasa licha ya kuwa Hizbollah imeendelea kuharibu asssets muhimu za israel mpakani.
Ifahamike kuwa Hizbollah iliundwa katika miaka ya 1980 baada ya Israel kuivamia Lebanon na kuua watu wengi sana kule.
View: https://www.youtube.com/watch?v=KUP_VkvYmno&ab_channel=OpenmindedThinkerShow