CCM Wanahusika vipi na Mvua kuleta vyura..?Mm zimepita na makebich yangu yote huku ushirombo nimebakiziwa vyuraaa ukifka shambani ni kerere tuu
ngrooooo....ngrooooo
ngrooooo.....ngrooooo
ni km wananizomeaaa
na ukiangalia chanzo kikuu ni CCM
hahaaaaCCM Wanahusika vipi na Mvua kuleta vyura..?
[emoji23][emoji23][emoji23] ccm haifai kbsMm zimepita na makebich yangu yote huku ushirombo nimebakiziwa vyuraaa ukifka shambani ni kerere tuu
ngrooooo....ngrooooo
ngrooooo.....ngrooooo
ni km wananizomeaaa
na ukiangalia chanzo kikuu ni CCM
Mungu atusaidie 24/11/2019 isinyeshe tukapige kura kwa amani!Sasa imekuwa kero, ingawa wengi watasema mvua ni baraka. kuna baraka ambazo ni kero.
Mvua ya sasa ni kero tupu! siitaki tena
Mm zimepita na makebich yangu yote huku ushirombo nimebakiziwa vyuraaa ukifka shambani ni kerere tuu
ngrooooo....ngrooooo
ngrooooo.....ngrooooo
ni km wananizomeaaa
na ukiangalia chanzo kikuu ni CCM
Bilashaka itakuwa unalima kuleee namba moja bondeni, kama sio katente mbuganiMm zimepita na makebich yangu yote huku ushirombo nimebakiziwa vyuraaa ukifka shambani ni kerere tuu
ngrooooo....ngrooooo
ngrooooo.....ngrooooo
Na hawa vyura piga ua wametumwa na CCM
hapana, shamba mazao yanaoza.... kila kitu kinaoza!Tatizo unaishi mabondeni mkuu..
Nipo mjini na vyma vitatu, 4 WD... lkn kila kilicho shamba kinaoza!Pole mkuu, tatizo unaishi mjini na haumiliki chuma
exactly, nadhani Polepole atakujibu hivyoKwahiyo sirikali ya awamu ya 5 imeleta mvua
Mm zimepita na makebich yangu yote huku ushirombo nimebakiziwa vyuraaa ukifka shambani ni kerere tuu
ngrooooo....ngrooooo
ngrooooo.....ngrooooo
Na hawa vyura piga ua wametumwa na CCM
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππ