Mvua siitaki, ni kero

Mvua siitaki, ni kero

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Sasa imekuwa kero, ingawa wengi watasema mvua ni baraka. Kuna baraka ambazo ni kero. Mvua ya sasa ni kero tupu!

Siitaki tena.
 
Mm zimepita na makebich yangu yote huku ushirombo nimebakiziwa vyuraaa ukifka shambani ni kerere tuu

ngrooooo....ngrooooo
ngrooooo.....ngrooooo

ni km wananizomeaaa
na ukiangalia chanzo kikuu ni CCM
CCM Wanahusika vipi na Mvua kuleta vyura..?
 
Mm zimepita na makebich yangu yote huku ushirombo nimebakiziwa vyuraaa ukifka shambani ni kerere tuu

ngrooooo....ngrooooo
ngrooooo.....ngrooooo

ni km wananizomeaaa
na ukiangalia chanzo kikuu ni CCM
[emoji23][emoji23][emoji23] ccm haifai kbs
 
Kwahiyo sirikali ya awamu ya 5 imeleta mvua
Mm zimepita na makebich yangu yote huku ushirombo nimebakiziwa vyuraaa ukifka shambani ni kerere tuu

ngrooooo....ngrooooo
ngrooooo.....ngrooooo

ni km wananizomeaaa
na ukiangalia chanzo kikuu ni CCM
 
Mm zimepita na makebich yangu yote huku ushirombo nimebakiziwa vyuraaa ukifka shambani ni kerere tuu

ngrooooo....ngrooooo
ngrooooo.....ngrooooo

Na hawa vyura piga ua wametumwa na CCM
Bilashaka itakuwa unalima kuleee namba moja bondeni, kama sio katente mbugani
 
Pole mkuu, tatizo unaishi mjini na haumiliki chuma
 
Kw hapa Dar mvua hatuihitaji.

1. Miundombinu ni mibovi hakuna mfano, miaka 60 ya ccm hakuna miundombinu ya kueleweka, mipango miji mibovu hakuna mfano.

2. Hapa Dar hatulimi, mvua inyeshe kidogo ikanyeshe huko mkoani ambako shughuli kubwa za kiuchumi ni kilimo.

Mvua kunyesha hapa Dar ni imekosa kazi na tuseme imepotea njia, itafte sehemu ya kwenda kunyesha. Anaeileta hii mvua hapa Dar hajafikiria vizuri.
 
Mm zimepita na makebich yangu yote huku ushirombo nimebakiziwa vyuraaa ukifka shambani ni kerere tuu

ngrooooo....ngrooooo
ngrooooo.....ngrooooo

Na hawa vyura piga ua wametumwa na CCM

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
 
Dah ila ww sijui tu...sijawah kuacha kucheka kila nikiona comment yako.nimekaa na mchina sasa namuelewesha haelewi🤣🤣🤣🤣
Khaa!kilimo oyeee!

manengelo
hicho ndio chama chako ulichokipa kura 2015
hahaaaa na badooo andaa mbavu best
 
Back
Top Bottom