I am Groot JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 3,929 Reaction score 10,747 Nov 9, 2019 #21 Wapeni hiyo mvua hata majirani zetu kenya wamwagiliziwe udogo wao walime. Wana njaa sana kule wana uhitaji sana wa mvua. mwaka jana tuliwaibia mawingu yao ya mvua ona sasa wanavyoteseka😢.
Wapeni hiyo mvua hata majirani zetu kenya wamwagiliziwe udogo wao walime. Wana njaa sana kule wana uhitaji sana wa mvua. mwaka jana tuliwaibia mawingu yao ya mvua ona sasa wanavyoteseka😢.
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Nov 9, 2019 #22 🤣🤣🤣 reyzzap said: manengelo hicho ndio chama chako ulichokipa kura 2015 hahaaaa na badooo andaa mbavu best Click to expand... 🤣🤣🤣chama kimechokwa had vijijini..ptu
🤣🤣🤣 reyzzap said: manengelo hicho ndio chama chako ulichokipa kura 2015 hahaaaa na badooo andaa mbavu best Click to expand... 🤣🤣🤣chama kimechokwa had vijijini..ptu
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,130 Reaction score 8,362 Nov 9, 2019 #23 Asante JPM
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,813 Reaction score 21,807 Nov 9, 2019 #24 manengelo said: í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£ í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£chama kimechokwa had vijijini..ptu Click to expand... kwanza asaiv mwana ccm aki like comment yangu nam report abuse....apewe BAN
manengelo said: í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£ í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£chama kimechokwa had vijijini..ptu Click to expand... kwanza asaiv mwana ccm aki like comment yangu nam report abuse....apewe BAN
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Nov 9, 2019 #25 reyzzap said: kwanza asaiv mwana ccm aki like comment yangu nam report abuse.... Click to expand... Hahahahahahahahhahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahajaj.... Mbavu zangu mm🤣🤣🤣!mimi nnachoshukuru watu waliokuwa ccm kindaki ndaki wamepigikaaa🤣🤣!sasa hv nawaimbisha nitakavyo😃😃
reyzzap said: kwanza asaiv mwana ccm aki like comment yangu nam report abuse.... Click to expand... Hahahahahahahahhahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahajaj.... Mbavu zangu mm🤣🤣🤣!mimi nnachoshukuru watu waliokuwa ccm kindaki ndaki wamepigikaaa🤣🤣!sasa hv nawaimbisha nitakavyo😃😃