Mvua siitaki, ni kero

Mvua siitaki, ni kero

Wapeni hiyo mvua hata majirani zetu kenya wamwagiliziwe udogo wao walime. Wana njaa sana kule wana uhitaji sana wa mvua.

mwaka jana tuliwaibia mawingu yao ya mvua ona sasa wanavyoteseka😢.
 
í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£

í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£chama kimechokwa had vijijini..ptu
kwanza asaiv mwana ccm aki like comment yangu nam report abuse....apewe BAN
 
kwanza asaiv mwana ccm aki like comment yangu nam report abuse....

Hahahahahahahahhahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahajaj.... Mbavu zangu mm🤣🤣🤣!mimi nnachoshukuru watu waliokuwa ccm kindaki ndaki wamepigikaaa🤣🤣!sasa hv nawaimbisha nitakavyo😃😃
 
Back
Top Bottom