Mvua tena leo tarehe 19 viunga vya Dar

Hapa nilipo Kuna Jua kali la utosi lakini Kua radi kali sana piaa...
 
Sielewi ndio simba anazaa au vipi (nimekumbuka zamani)

Jua linamulika Joto ndio usiseme Vimanyunyu kama vyote
 
masai dada, mvua inanyesha wapi dar hii? Kuna kitu unakitumia sio cha kawaida! nakushauri acha.
 
Nilipo kuna vyote vyote nadhani Simba anazaa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…