masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Hapa nilipo mvua kama kilo 7 kwa sekunde moja nishazungukwa na maji. Vipi huko mliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapiHapa nilipo mvua kama kilo 7 kwa sekunde moja nishazungukwa na maji. Vipi huko mliko
Hata mm nilipo jua linawaka kilo 6Nilipo jua linawaka la kilo 5 na nusu
masai dada ulpotelea wapiHapa nilipo mvua kama kilo 7 kwa sekunde moja nishazungukwa na maji. Vipi huko mliko
Huyu Makonda ni kishetani kidogo!Kuna mtu anaesikilizwa sana na MUNGU si amezisimamisha?View attachment 1297086
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha nakwambia tena mvua imepiga kali sanamasai dada, mvua inanyesha wapi dar hii? Kuna kitu unakitumia sio cha kawaida! nakushauri acha.