jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,901 Sep 29, 2016 #1 Kwa watu wa dar ,mvua ikinyesha mchana wengi tunasema hali ya hewa inaruhusu kwa guest houses na logde kujaa ,(kwichikwichi) Ila kwa mikoani mvua ni kwaajili ya mashamba mimi napenda mvua dar maana inafanya nisisubiri mpaka saa kumi na moja jioni. 🙂
Kwa watu wa dar ,mvua ikinyesha mchana wengi tunasema hali ya hewa inaruhusu kwa guest houses na logde kujaa ,(kwichikwichi) Ila kwa mikoani mvua ni kwaajili ya mashamba mimi napenda mvua dar maana inafanya nisisubiri mpaka saa kumi na moja jioni. 🙂
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Sep 29, 2016 #2 Ngoja magufuli aone post yako.maana unaenda viceversa