jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Kwa watu wa dar ,mvua ikinyesha mchana wengi tunasema hali ya hewa inaruhusu kwa guest houses na logde kujaa ,(kwichikwichi)
Ila kwa mikoani mvua ni kwaajili ya mashamba
mimi napenda mvua dar maana inafanya nisisubiri mpaka saa kumi na moja jioni. 🙂
Ila kwa mikoani mvua ni kwaajili ya mashamba
mimi napenda mvua dar maana inafanya nisisubiri mpaka saa kumi na moja jioni. 🙂