Mvua ya ajabu Gairo

Mvua ya ajabu Gairo

Huku kwetu Mkata zi
Huo mguu sasa🤣🤣🤣🤣

Kwa ujumla hiyo mvua ipo sehemu nyingi kuanzia jana, wengine wakahisi labda kuna moshi angani huku maeneo yetu.

Inawezekana inatokona na moshi wa ule moto mkubwa uliokumba Australia siku za karibu
iaseee hata mkata zimenyesha mvua nyeusi balsa na Tafu usiku kucha juzi nadhani kuna ishu ya moshi toka Australia
 
tatizo ni huo mguu camera inashindwa kupata clear image nunua soksi nyeupe piga picha tena. .
 
We usinambie [emoji3] sasa dawa yake n nini? Yan hapa tuko na mafua ya hatari na vichupa vya dawa tushamaliza[emoji21][emoji21] kupona hata hatuponi
Dawa ya kuleta nafuu ni tangawizi +ndimu + asali, kwangua tangawizi mbichi weka ndimu au limao alafu tia na asali kamua utapata maji maji flan hiv kunywa kijiko asubuh mchan jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya mvua kuonekana ya ajabu wewe mleta mada ndio unaonekana wa ajabu sasa hapo maji meusi kama mkaa yako wapi?,hivi unaujua weusi wewe?,kama huujui weusi mtazame yule bodyguard wa jiwe anayesimamaga pamoja na yule mwanajeshi nyuma ya jiwe
 
Huku kwetu iliwahi kunyesha yapata miaka 4 hivi iliyopita. Mimi nadhani hii inasababishwa na moshi unaotokana na sababu mbalimbali kama vile viwanda, mabomu na kuungua kwa misitu sehemu mbalimbali Duniani. Hivyo, huo moshi unapaa hewani na kugandamana na mawingu, na hivyo mawingu yanapoyeyuka na kuwa mvua maji yanakuwa meusi.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mguu sasa🤣🤣🤣🤣

Kwa ujumla hiyo mvua ipo sehemu nyingi kuanzia jana, wengine wakahisi labda kuna moshi angani huku maeneo yetu.

Inawezekana inatokona na moshi wa ule moto mkubwa uliokumba Australia siku za karibu
Ndio hivyo hivyo hukukosea, Mkuu
 
Mvua hiyo imetokea sana tu... tena nakumbuka kuna kipindi nikiwa mdogo tuliwahi kupitishiwa la mgambo kabisa kuwa tusinywe maji ya mvua ya jana yake ni hatari kwa afya lakini watu tumeyanywa sana tu na hakuna lolote baya; (sijui kwa hayo maeneo uliyosema ni mara ya kwanza kama una uhakika)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ya kuleta nafuu ni tangawizi +ndimu + asali, kwangua tangawizi mbichi weka ndimu au limao alafu tia na asali kamua utapata maji maji flan hiv kunywa kijiko asubuh mchan jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama kanambia hii kitu pia ila sijafanya maana sipendi asali, uwa inanichefua. But nitajaribu hata kwa siku moja, Lol
 
Back
Top Bottom