Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 129
Mtalii mmoja kutoka ulaya aliposhuka airport alichukua Taxi kumpeleka hotelini katikati ya jiji. Taxi driver akajamba baada ya muda Taxi Driver akamuuliza mtalii "Unaonaje hali ya hewa ya Afrika?" Mtalii akamjibu "Ikiendelea hivi itanyesha mvua ya mavi"