Mvua ya Mawe Kariakoo


Analby nakubaliana na wewe isipokuwa inatakiwa uelewe hata kama ingekuwa ni Mkapa na yeye angeonja joto kubwa sana tu kama mwenzake kwasababu ndugu yangu this is quite a different time..Kwani hata waliomzomea Mkapa si waliwekwa ndani? Huko Tarime je?
The problem kwao ni kuwa wananchi this time wako way more aware kuhusiana na utajiri wao zaidi ya miaka kama kumi iliyopita..Sasa naweza kuamini kabisa kuwa ni kweli Mkapa alitaka kujiongezea muda kwa kubadilisha katiba....Ni wazi mgawanyiko umo ndani ya usalama wa Taifa na hivyo ndio maana nchi imekuwa kama imemeguka hivi.
Nadhani mlishasahu mambo ya militias ambazo zinawanynyasa wananchi na waandishi wa habari na whistle blowers....Movement iliyoko sasa hakuna Rais atakayeizima kwa mabavu na kusitokee machafuko...Hivyo anachofanya JK ni sahihi tu..Provided ameamuwa kuziba masikio...Na huku kukimbia wanakodai anakimbia sijui mwisho wake ni nini...Maana hata wale vibaka wanaochomwa moto kelele huanza mwizi mwizi...Kama mtu mmoja then wawili..Sasa kwa panic anakimbia...Hapo mshike mshike inaanza..Hata mbwa mwenyewe instincts zake usikimbie, Ukikimbia ni noma...Sasa kama unasema Mh Rais kukimbia ndio Demokrasia then hapo hatutakubaliana.
Kuya ignore matatizo si sawa na kusema ni uvumilivu wa serikali yake...Uncle ni tactics za tofauti tu...Kwani bado si unaona kina Kubenea na mambo ya FFU?
Walisema Nairobi ilijengwa kwa mawe..Sasa naona wabongo wanawapelekea "Nairobi" hao wanaotaka kuprevent justice.
 
Yap in his addmin people look to have far freedom of speech and expression which is good if people use it properly otherwise things will go from bad to worse. He must deal with corruptions especially the EPA one to show the wananchi that he is on their side otherwise he is endangering his reputation and the safety of the country hatutaki machafuko kama nchi jirani.
 

I think he must deal with ufisadi with full force na si especially this or that....Corruption is more than just EPA..Nimekuelewa unaposema ili kuwaplease wananchi..Lakini tatizo la corruption ni a black and white issue...Haina kiwingu..Nashangazwa na wale wanaosema eti nchi itayumba kama wakiwajibishwa...Iyumbe mara ngapi?
Yani wananchi wanyanyaswe ili kuwalinda wao wenyewe dhidi ya nani?
Nchi itayumba huko juu ama chini? Duh..Watu wa matawi ya juu wako totally otta touch man.
Kudeal na EPA si kuumaliza ufisadi...Anajuwa cha kufanya....Na akishindwa pia anajuwa cha kufanya..Anachotakiwa kufanya ni kamwe asiwanyanyase wananchi kwa kutumia dola kwenye wakati kama huu...Mambo ni mbaya kwa wananchi walio wengi halafu unawapelekea jeshi kama mkoloni?
Shame on you ccm na viongozi wenu you need yo be carefull.
 

je uhuru wa kujieleza hauendani na matumaini ya kusikilizwa?
kama lengo ni kuwaachia watu wajieleze kisha badala ya kuwasikiliza
unawekejeli basi uhuru huo ni batili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…