Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Wakati wakazi wa Dar es Salaam na maeneo mengine mengi tukiendelea kulalamika jua ni kali, wenzetu huku kuna mvua ya mawe jamani. Sasa hili jua la Dar ni la Ai au?🤔 mana linachoma mpaka ngozi yani
Wakazi wa Makete muje mtuambie hapa hizi mvua zipo huko kwenu kweli au ndo watu wameamua kujiamulia mambo tu. 😀 😀
Wakazi wa Makete muje mtuambie hapa hizi mvua zipo huko kwenu kweli au ndo watu wameamua kujiamulia mambo tu. 😀 😀