si mwezi huu lakin.. sio mbaya mkafuga samaki itawalipa watan nasisi tupambane na vichaka vyetuOctober 12 leo ni october 25 huo uwanja uliwekewa kifusi kwa ajili ya matengenezo hizo picha ni za kitambo
Huo ni mto Simiyu au mto Kwembe?!!
Wakati yanga wakiwa kwenye mpango wa kukarabati uwanja wao wa kaunda ghafla nzi katua kwenye kidonda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nasikia wameagiza mbegu za migebuka toka kigomaUnawazungumzia wafuga kambale wa Jangwani?
si ya hivi karibuni.
Wakati yanga wakiwa kwenye mpango wa kukarabati uwanja wao wa kaunda ghafla nzi katua kwenye kidonda
Tuheshimiane samaki wenye hadhi wale hawawezi kukaa kwenye matope[emoji23] [emoji23] [emoji23] nasikia wameagiza mbegu za migebuka toka kigoma
Si bora hicho kiwanja wajenge Swimming pool wawe wanaogelea tu sasa uwanja ukikamilika ndo utaitwa MAJIMAJI STADIUM?