Mvua yaleta balaa Yanga SC

Mvua yaleta balaa Yanga SC

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
9f3d919e849fd4b0d5343b11a1564f95.jpg

Wakati yanga wakiwa kwenye mpango wa kukarabati uwanja wao wa kaunda ghafla nzi katua kwenye kidonda

1c592fb4358d0c119e7133c5e05d3699.jpg
 
October 12 leo ni october 25 huo uwanja uliwekewa kifusi kwa ajili ya matengenezo hizo picha ni za kitambo
 
October 12 leo ni october 25 huo uwanja uliwekewa kifusi kwa ajili ya matengenezo hizo picha ni za kitambo
Mkuu hii picha ni ya leo ,mvua inayoendelea leo jijini Dar imesababisha uwanja uwe hivyo
 
October 12 leo ni october 25 huo uwanja uliwekewa kifusi kwa ajili ya matengenezo hizo picha ni za kitambo
si mwezi huu lakin.. sio mbaya mkafuga samaki itawalipa watan nasisi tupambane na vichaka vyetu
 
Simba hmna hata uwanja wa ndondo, hata wa kuchezea kanga moko hamna
 
Huo Uwanja kwa jinsi ulivyo mbovu na mchafu hata nikiambiwa tu nilaze hapo Ng'ombe na Mbuzi zangu kwa muda sitokubali ng'o.
 
Wangefunguwa mradi wa KUFUGA PEREGE kuepuka KUOMBA OMBA kwa BANIANI
 
Si Afadhali sisi tuna eneo tunafuga Kambale. Matopeni kule Bunju ni bosheni tu. Ni shamba la mtu.
Nyasi mmetoa bandarini?
 
Back
Top Bottom