Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Hapa DSM usiku huu kuna kamvua kanipiga mixer baridi. Aisee tusio kuwa na wapenzi, tukumbatie mito tulale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe embu acha kulalama kama Mbasha, toboa godoro usiku upiteHapa dsm usiku huu kuna kamvua kanipiga mixer barid,
Aisee tusio kuwa na wapenz, tukumbatie mito tulale.
Wewe embu acha kulalama kama Mbasha, toboa godoro usiku upite
Jamaa ana bahati mbaya we' acha tu...[emoji23][emoji23]Hivi mbasha c yule aliye gongwa mitama
Acha uvivu wewe...Hapa dsm usiku huu kuna kamvua kanipiga mixer barid,
Aisee tusio kuwa na wapenz, tukumbatie mito tulale.
Nimepita tu vijana wangu kushuhudia mnachojadili.
Maana hapa mafinga hali hii ya 12° sasa sijui unavyolalama kama ungekuwa eneo hili.
Unaijua kivipi ☹ mbona ueleweki aseee..!Hali ya mafingia naijua sana, *****[emoji16] niliwahi kukaa hapo ..
Unaijua kivipi [emoji852] mbona ueleweki aseee..!
Hapa dsm usiku huu kuna kamvua kanipiga mixer barid,
Aisee tusio kuwa na wapenz, tukumbatie mito tulale.
Yaani kabisa huu nao ni Uzi kwa 'Great Thinkers' Kuufungua, Kuusoma na Kuujadili hapa? Kuna Watu Facebook Kwenu huko Kumewaharibu zaidi.
Kwanini ume comment?
Nisingechangia ungejuaje kuwa Wewe ni 'Popoma' Uliyetukuka?
HahahahaNisingechangia ungejuaje kuwa Wewe ni 'Popoma' Uliyetukuka?
Sisawa...[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa Emmanuel Mbasha