Mvua za mwaka huu hatutazisahau.

Nvua ndogo sana hii. Kuna nvua ilinyesha mwaka 1958 ikaja kujirudia mwaka 1971 mwezi wa tatu tarehe nne. Ilikuwa balaa kijana
 
Nilikua mdogoo ila niliona mtiti wake...
Ilikuwa hatari.
Kwetu sisi ambao tunalima mihogo km zao kuu la chakula ilikuwa shughuli pevu kuchakata hiyo mihogo mpaka kufikia kuwa unga.

Ila kwa samaki,ilikuwa ni shangwe tu.
Mnaenda kuvua muda mfupi tu samaki wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…